Hosea 2:23
23 aNitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe;
nami nitaonyesha pendo langu kwake
yule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu. ▼
▼ Kiebrania ni Lo-Ruhama.
’Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’ ▼
▼ Kiebrania ni Lo-Ami.
‘Ninyi ni watu wangu’;
nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”
Copyright information for
SwhKC